Mkuu wa Mkoa awataka TANICA kufungua “Coffee Shop and Bar”
Mkuu wa mkoa wa Kagera Mheshimiwa Brigadier General Marco Gaguti amewataka Tanica kufungua mgahawa wa kahawa maarufu kama Coffee Shops ili kuweza kuitangaza Zaidi kahawa ya Tanica kwa wenyeji na